Burudani ya Michezo Live

Msanii chipukizi anayefananishwa na Mbosso, aachia video ya wimbo wake ‘Mawadda’ – Video

Msanii chipukizi anayefananishwa na Mbosso, aachia video ya wimbo wake 'Mawadda' - Video

Msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva anayejulikana kwa jina la Smartive ameachia video ya wimbo wake Mawadda, msanii huyo chipukizi ameachia wimbo wenye mahadhi ya taratibu unaohusu mapenzi.

Mbali na kufananishwa na msanii kutoka katika lebo kubwa ya muziki wa Bongo Fleva ya WCB Mbosoo Khan kwa kila kitu kuanzia sauti aina ya wimbaji mpaka sura.

Wimbo huo unaitwa Mawadda umefanywa na Producer mkubwa kabisa kwenye tasnia ya muziki Dupper na video yake ikifanywa na Director Xd.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW