Burudani

Msanii huyu wa Marekani amuomba Diamond amtumie wimbo wake na Tanasha “Nitumie sasa hivi” – Video

Msanii huyu wa Marekani amuomba Diamond amtumie wimbo wake na Tanasha "Nitumie sasa hivi" - Video

Katika ngoma mpya iliyotolewa na Diamond pamoja na tanansha Donna imezua ngumzo baada ya msanii mkubwa kutoka Marekani kumuomba diamond amtumie wimbo ule, Kupitia ukurasa wa Diamond wa Instagrama msanii huyo ambaye ni Swiz beatz alituma meseji na kusema Send me ASP (as soon as possible) huku Diamond akimjibu one second.

Huenda msanii huyo mkubwa anataka kufanya rimex ya wimbo huo.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents