Michezo

Mshambuliaji wa Ghana, Andre Ayew asajiliwa Swansea City

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana, Andre Ayew aliyekuwa akichezea klabu ya Marseille ya nchini Ufaransa amesajiliwa na klabu ya Swansea City ya England.

eyew

Mchezaji huyo sasa anasubiri kuidhinishwa kwa kibali cha ligi kuu ya England. Ayew, 25, ambaye alikuwa akivutia timu kadhaa za EPL na nyingine za Ulaya, amesaini mkataba wa miaka minne, baada ya mkataba wake kumalizika na klabu yake ya Ufaransa. Ayew atavaa jezi namba 10.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents