Msondo ilipomvaa Sikinde
Bendi ya musiki wa dansi Msondo Ngoma, wakisababisha katika usiku wa mashindano ambayo yalifanyika katika Ukumbi wa Daimond Jublie usiku ya mach 18, ikichuana vikali na Bendi ya Sikinde huku mkali wa Sikinde Dede, akiwa ndiyo kwanza anahamia bendi ya Msondo.
Ilikuwa piga nikupige, pakua nikupakue na buludani ilikuwa kubwa na ya kutosha kila mmoja akionyesha ujuzi wake katika kusakata rhumba, huku Hassan Tx Moshi akionyesha kile kipaji cha kulithi kwa kukamata vizuri sauti ya urithi kutoka kwa baba.
Tx Journay akionyesha uwezo wake wa kuimba,
Romario Mng’ana awa Rapper wa Msondo, akiwa anachana na kupasuka ilikutoa buludani kwa wapenzi wke.
Muhidini Ngulumo, yeye alibaki kuwa mshabiki kutokana na Afya yake, huyu mama wa hapa pembeni sijui nani wake ? Hebu anayejua atupe ‘data’
Mziki si lazima ucheze ukiwa umesimama, ilimradi uwe unaupenda yaani mziki hauna kwao