Michezo

Mtibwa Sugar yasajili kifaa kipya

Mshambuliaji wa Taifa , Kelvin Sabato ‘Kiduku’ amesaini klabu ya Mtibwa Sugar kwa mkataba wa miaka miwili.

Sabato ambaye msimu uliyopita alikuwa akiitumikia klabu ya  majimaji jana jioni, ameingia kandarasi hiyo na Mtibwa ambayo inajiimarisha kwaajili ya msimu ujao.

Nyota huyo ni zao halisi la michuano ya Ndondo Cup akisajiliwa kwa mara ya kwanza kucheza ligi kuu akitokea kwenye moja ya timu iliyokuwa ikishiriki michuano hiyo.

By Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents