Mtoto wa Beckham afuata nyayo za baba yake

Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania ,kijana kuanzia miaka 18 ana uwezo wa kufanya maamuzi yake pasipo kuvunja sheria, hivyo basi kijana wa mwanasoka maarufu wa Uingereza David Beckham na mwanamitindo Victoria Beckham, Brooklyn Beckham ameanza kuonyesha kukuwa kwa kuchora tattoo katika mwili wake.

Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 18 amechora tattoo mbili mpaka sasa katika mwili wake moja ikiwa katika bega lake ikiandikwa ‘MUM’ na nyingine ni kushoto ikionyesha mwaka aliyozaliwa baba yake ‘1975’.


Paparazi waliweza kuiona tattoo hiyo vyema na kuipiga picha alipokuwa akienda kupata chakula cha mchana maenoe ya Los Angles nchini Marekani.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW