Mwanzamziki wa kike kutoka Tanzania Nandy ameachia Audio ya nyimbo yake mpya inayojulikana kwa jina la Aibu.
Nyimbo hii imetengenezwa na Producer Kimambo na kuandikwa na Tanzania House of Talent (THT)
By Ally Juma.