Burudani
Music: Edu Boy Ft Barnaba – Nimejifunza
Msanii wa muziki wa Hip Hop ambaye ni zao la Serengeti Fiesta 2013, Edu Boy ameachia wimbo ‘Nimejifunza’ aliyomshirikisha Barnaba. Wimbo umeandaliwa na Nusder & Babuu Silca.