BurudaniVideos

Video za wasanii wa kike Bongo zilizotazamwa zaidi Youtube mwaka 2016, Kleyah aongoza

Pamoja na kwamba Tanzania inapungukiwa wasanii wa kike wengi wenye nguvu kama walivyo wa kiume, wapo wanaofanya mambo makubwa. Nimekuandalia video tano za wasanii wa kike Tanzania zilizotoka mwaka huu zilizoangaliwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube.

1. Kleyah – African Drum

https://www.youtube.com/watch?v=-VlBY73LBMk
Views: 1,046,978
Director: Justin Campos
Published on Mar 23, 2016

2. Vanessa Mdee – Niroge


Views: 823,241 views
Director: Justin Campos
Published on Mar 24, 2016

3. Lady Jaydee – NdiNdiNdi

Views: 696,985 views
Director: Justin Campos
Published on Apr 23, 2016

4. Shilole f/ Barnaba – Say My Name


Views: 313,753 views
Published on May 13, 2016

5. Mahaba Niue – Maua Sama

https://www.youtube.com/watch?v=_m95o6CIk7k

Views: 291,864
Director: Adam Juma
Published on Apr 9, 2016

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents