Burudani ya Michezo Live

Mwanariadha Alphonce Simbu awa mshindi wa tano mbio za London

Mwanariadha kutoka Tanzania Alphonce Simbu, Jumapili hii amemaliza kama mshindi wa tano katika mbio za London Marathon nchini Uingereza.

Alphonce ambaye ni Mtanzania wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika mashindano maarufu ya Mumbai Marathon, amewapa wakati mgumu manguli wa riadha ulimwenguni walioshiriki mbio hizo za London akiwemo Muethiopia Kenenisa Bekela pamoja wa wengine kutoka Ethiopia na Kenya.

Ushindi huu ni mkubwa kwa Tanzania na tunampongeza Alphonce Simbu kwa kufikia hatu hii kubwa na kwa kuipepeprusha bendera Ua nchi yetu vyema

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW