Burudani

Mwijaku na Soudy Brown watupa dongo, muziki wa Mavoko ulitekwa na maharamia sasa tumeurudisha (+Video)

Katika tukio la uzinduzi wa Minitape ya @richmavoko yenye ngoma nane limeweza kufunguliwa Kwa style ya aina yake kwa madensa wake kuingia na ngoma ya Kihindi.

Baada ya hapo watangazaji wa Clouds Fm @mwijaku na @soudybrown waliweza kuongea na @mwijaku kutupa dongo gizani akisema muziki wa Mavoko ULITEKWA na Maharamia na sasa umerudishwa.

https://www.youtube.com/watch?v=MJ0hUHUCg98

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents