Tupo Nawe

Naibu Waziri wa Maji Aweso amsukumia ndani mtumishi wa Maji Tanga “Yani imetumika milioni 400?” (Video)

Ziara ya kikazi ya Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) katika Wilaya ya Mkinga, mkoani Tanga kwa kukagua maendeleo ya kazi ya ujenzi wa miradi ya maji ya Parungu-Kasera, Horohoro, Mbuta, Mwakijembe na Mbuyuni. Katika ziara hiyo Waziri amemtumbua mmoja kati ya watumishi wa maji ambaye alionekana kuhidhinisha kutumika kwa tsh milioni 400 katika mradi ambao umedaiwa bado haujaanza.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW