Mahojiano
Marioo atoboa siri alichoambiwa na Diamond walipokutana Nigeria na kuhusu kusainiwa WCB – Video
Marioo atoboa siri alichoambiwa na Diamond walipokutana Nigeria na kuhusu kusainiwa WCB - Video
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mkali wa ngoma ya AYA @marioo_tz amefunguka kuhusu picha yake na @diamondplatnumz walipokutana nchini Nigeria.
@marioo_tz ameongeza kuwa hiyo picha ilizua gumzo sana kwa sababu hakuwa kuwa na picha akiwa na @diamondplatnumz Lakini pia walikutana wakali wawili yaani @diamondplatnumz na @marioo_tz
Pia @marioo_tz alieleza sababu za kufanya goma na @offcialcheed wa @kingsmusicrecords.
Kaka yake Alikiba ambaye ni shabiki mkubwa wa Diamond “Diamond alimtisha Wizkid na Rick Ross”
By Ally Juma.