Ndovu imepata tuzo Ujerumani

Meneja wa Ndovu Lager Oscar Shelukindo (TBL) pamoja na Mpishi mkuu wa kampuni hiyo (Chief Brewer) Gaudence Mkolwe wamepokea tuzo ya dhahabu iliyopata kilaji cha Ndovu kwenye sherehe za ubora wa bidhaa za Monde Selection ambazo zimefanyika rasmi katika ukumbi wa Kurhaus jijini la Wiesbaden, Ujerumani.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents