Muziki
New Audio: Gigy Money – Papa
Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa kwanza, Supu, muimbaji Gigy Money ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Papa’. Wimbo huo umeandaliwa na producer, Kimambo Touches.
Gigy ameachia wimbo huo kupitia mtandao wa Wasafi.Com
Muimbaji huyo ambaye ni video queen aliiambia Bongo5 kuwa wimbo unamtaka mwanamke kujiamini.