Msanii wa muziki Grit ameachia wimbo wake mpya 'Muda'. Audio ya wimbo huo imeandaliwa na producer Naroh.