Shinda na SIM Account

New Audio: Gunplay ft Rick Ross

Watu wengi wamekuwa wakiuliza Gunplay kaishia wapi ambaye nimmoja wa wanachama wa MMG MMG.
Karudi leo akiwa na msimamizi wa Maybach Music Group Rick Ross kwenye ngoma iitwayo ‘Cheap Thrills’ na uzalishajin wa ngoma hiyo imeshughulikiwa na M-Millz, DJ Sam Sneak na Big A.

Siliza hapa chini.

https://audiomack.com/song/diesel-dmp/cheap-thrills-ft-rick-ross

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW