Muziki

New Music: Diamond Platnumz – Eneka

By  | 

Diamond Platnumz ameendelea kuachia ngoma mfululizo. Muimbaji huyo kutoka WCB ameachia wimbo wake mpya ‘Eneka’ ambao mdundo wake umetayarishwa na producer Lizer kutoka Studio za Wasafi Records. Usikilize hapa chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments