New Music Video: AY ft Fid Q – Microphone

Mzee wa Commercial, AY ameachia video yake ya wimbo mpya wa Microphone aliomshirikisha Fid Q. Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa B-Hitz na video imeongozwa na Destro kutoka Wanene Films.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW