Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

New Video: Coclyin – Usibadilike

Msanii wa muziki Coclyin ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Usibadilike’. Wimbo huo umeandikwa na Wyse chini ya producer Davymachords na Mrttouchez huku video ikiandaliwa na director, Joowzeytz.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW