Muziki
New Video: Darassa – Hasara Roho
Rapa Darassa, baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Muziki’, ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Hasara Roho’. Audio imeandaliwa na Abba, Mr Ttouch pamoja na Mr VS. Video imeongozwa na director, Hanscana.