Burudani ya Michezo Live

New Video: French Montana f/ Swae Lee – Unforgettable

Rapper wa Marekani mwenye asili ya Morocco, French Montana ameachia video ya wimbo wake Unforgettable aliomshirikisha Swae Lee. Video imefanyika nchini Uganda na imewashirikisha dancers wa Ghetto Kids. Pia kwenye video anaonekana rapper Navio.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW