Muziki
New Video: Goddie – Inauma
Msanii wa muziki Kutoka Morogoro, Goodies baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Sunshine’ amekuja upya na wimbo ‘Inauma’ unaohusu hali ya maisha ya sasa. Wimbo umeandaliwa na producer, Bugalee From The Sound Production.