Burudani

New Video: J.I – Sijatosheka

By  | 

Muimbaji wa Kidato Kimoja, J.I amerudi tena na kazi mpya aliyoipa jina ‘Sijatosheka.’ Video imeongozwa na Tiger na kufanyika nchini Kenya na wimbo umetayarishwa kwenye studio za Urban Scotch Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments