Videos

New Video: Jordan – Ambopopo

Msanii wa Bongo Flava, Jordan ambaye alikuwa kimya kwa muda mrefu amerudi kwenye game na video mpya ya ‘Ambopopo’ alifanya chini ya mtayarishaji Imma Touch na John Blass katika studio za Grandmaster Records, Video ya ngoma hiyo imeongozwa na Nezer.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents