Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

New Video: Max Spesho x Don Pol – Nyama Zipo

Msanii wa muziki, Don Pol baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Nani Hakosei’ ameachia wimbo mpya ‘Nyama Zipo’ akiwa ameshirikiana na muigizaji wa tamthilia ya ‘Kelele’, Max Spesho. Video imeongozwa na director Eddy huku audio ikiandaliwa na producer, Bacteri.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW