BurudaniVideos

New Video: Nafanya – Cyril ft Jux

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=mOYGXc1lMTg[/youtube] Video mpya ya Cyril akimshirikisha Jux, soma zaidi upate lyrics ya wimbo.

LYRICS:

CHORUS
MINAFANYA nipate ata japo kidogo nile mimi nawewe,MINAFANYA nafanya kazi ngumu kwa mtaa sababu ya wewe..MINAFANYA EEH nitarudi nivumilie,MINAFANYAA IYEA YEA,OOHW OWOHW *4

VERSE 1:
Nipo kwenye tour mkoa minafanya shows,ila vumilia mamii wala usiumie roho,
unavyo kosa raha kwangu moyoni inakua soo,napata maumivu kila nikiwaza jinsi ulivyo.
unajuta kuwa na mimi ni sababu ya matatizo, kazi nazo fanya ngumu yani hazina ata likizo,
ila jua nachofanya maa ni kwa ajili yako na nimesimama imara kulitunza penzi lako.
niko busy na hii album studio nina vocals narudi usiku sana wakati mpenzi hauko macho,
asubuhi nakwenda mtaani bado umefunga macho na hustle ili life nyumbani iwe nzuri.
nakumiss natamani hata leo nirudi home ila bado mikoa kumi natakiwa ku perform,
kama umeni miss sana just play my songs ukiwa alone ntaku ntakukiss through the phone..
CHORUS

MINAFANYA nipate ata japo kidogo nile mimi nawewe,MINAFANYA nafanya kazi ngumu kwa mtaa sababu ya wewe..MINAFANYA EEH nitarudi nivumilie,MINAFANYAA IYEA YEA,OOHW OWOHW *4

VERSE 2:
Na interview kwenye tv na interview kwenye gazeti na interview kwenye radio kuhusu tour na hii project,
bado sijasahau nitakuwepo kwenye birthday na promise baby mama ntakufanya we uwe happy,
najua niko busy sana hilo sikatai ila sitaki kua sababu yakukufanya we u cry,japo mina try siku zote kua goodboy nikupe mapenzi ya ukweli yani daily u enjoy,
shillingi siichezei kwenye tundu la choo listen ma niko nawe everywhere i go,
ni pete yako mkononi inanifanya ni kumiss more and you already know so we mwanzo na mwisho,
niwe wapekee umechukua nafasi special usinione michosho juani nikitoka jasho na fight na maisha yawe mazuri na kesho,
nimekuweka moyoni na hii nyimbo ni dedication..

CHORUS
MINAFANYA nipate ata japo kidogo nile mimi nawewe,MINAFANYA nafanya kazi ngumu kwa mtaa sababu ya wewe..MINAFANYA EEH nitarudi nivumilie,MINAFANYAA IYEA YEA, *2
OOHW OWOHW*2

OUTRO
yeah its your kid Cyrill a.k.a Kamikaze i gat ma boy Jux on this one, its CMB Wakacha in the building, i see you Maneck holla..

WRITTEN BY KAMIKAZE
PRODUCED BY MANECK
STUDIO A.M RECORDS
WAKACHA ENT.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents