Muziki
New Video: Queen Darleen – Ntakufilisi
Msanii wa muziki wa kike kutoka ndani ya Kundi la WCB, Queen Darleen ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Ntakufilisi’ baada ya kufanya vizuri na wimbo, Kijuso. Audio imeandaliwa chini ya Wasafi Record.