Mitindo

Nguo nyeusi katika harusi ni sawa au si sawa?

Mara nyingi tumeona nguo zenye rangi tofauti zikivaliwa na wapambe wa bibi harusi, ila nguo nyeusi tumezoea kuona mavazi meusi yakivaliwa katika shughuli za msiba.

Hii ni kali ya mwaka , ndoa moja nchini Nigeria wametumia kitambaa cha rangi nyusi chenye resi kushonewa vazi ya wapambe wa bibi harusi huku wanaume wakitumia vitambaa vyeupe kushona suti na bibi harusi akivaa shera nyeupe na suti ya damu ya mzee ak8ivaa bwana harusi.

Je wewe unaweza kutumia nguo ya rangi nyeusi katika sherehe yako ya ndoa?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents