AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Nicki Minaj ni shida, aachia video mbili kwa mpigo

Baada ya kupita miezi minne bila ya kuachia ngoma mpya, Nicki Minaj amekuja kwa hasira kwa kuachia video mbili kwa mpigo.

Rapper huyo ameachia video ya wimbo wake ‘Chun-Li’ na ‘Barbie Tingz’. Wimbo wake wa mwisho ulikuwa ni Motorsport ambao aliimba na Migos pamoja na Cardi B.

Mpaka sasa video ya Chun-Li imeshatazamwa zaidi ya mara milioni tano kwenye mtandao wa YouTube, wakati ‘Barbie Tingz’ ikiwa imetazamwa zaidi ya mara milioni tatu. Tazama hapa chini video zote mbili.

Chun-Li

Barbie Tingz

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW