Michezo

Nigeria mabingwa wa dunia kombe la vijana

Timu ya taifa ya vijana ya Nigeria, Golden Eaglets chini ya miaka 17 imetwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa vijana.

2731461_full-lnd

Nigeria iliwafunga Mali katika mchezo wa fainali kwa mabao 2-0 ambapo goli la kwanza lilifungwa na mshambuliaji Victor Osimhen na Funsho Ibrahim Bamgboye akiongeza bao la pili na la ushindi.

2731456_big-lnd

Kikosi cha cha vijana cha Nigeria kimeweza kutetea ubingwa wake baada ya kutwaa taji hilo la dunia la vijana mwaka 2013 walipoishinda Meixco kwa mabao 3-0.

Nigeria 3

Mshambuliajia Victor Osimhen ameibuka mfungaji bora wa kihistoria kwa kuzichana nyavu jumla ya mabao 10 katika michuano hiyo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents