Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Nimekuja Dar kumuona mtoto wangu Alikiba – Yvonne Chaka Chaka (+video)

Msanii mkongwe Afrika Kusini Yvonne Chaka Chaka ameeleza sababu kubwa ya kuja Tanzania ni kumuangalia mtoto wake Alikiba na pia kuja kuachia rasmi wimbo wao mpya unaoitwa ‘Akili ya Mama’ ambao waliorekodi mwishoni mwa 2016.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW