Nishati ya mafuta bado tatizo

mafuta_bei_1
Nishati ya mafuta nchini imeendelea kuzua kizaa zaa na kufanya watu wakimaliza siku yao nzima wakisubiri mafuta kama vile maji yanavyogombaniwa mtaani na kina mama kwa ndoo na vidumu. watu wengi wakishindwa kufanya kazi zao za kulizalishia taifa kutoka na kujikuta muda mwingi wakitafuta mafuta kwaajili ya kuerndesha mitambo ya katika kazi zao wakati umeme ukiendelea kuwa tatizo.

 

 

Ukame huo ulianza tangu tu, mamlaka ya Maji na Nishati ‘Ewura’ ilipotangaza bei elekezi kwa kuuza  mafuta ya Petrol kwa shiling 2004, Diesel 1911
siku nane  zilizopita, na kiuamsha hisia tofauti kwa wamiliki wa sheri hizo na kuanziosha mgomo. Hata hivyo fimbo hiyo ambayo wananchi, walidhani ingekuwa nafuu kwao imegeuka na kuwa chungu kutokana na kuteseka kwa kutafuta nishati hiyo kwa udi na uvumba na wasiipate na hapa wakiipata  inakuwa tayari umeshatoa kidogodogo kumpoza mtu wa sheri.
mafuta_bei_2
Mmoja wa wafanya biashara wa kuuza nishati hiyo ya mafuta wa eneo kariakoo katika kituo cha GBP,  jina lake hakutaka kutajwa, alisema mafuta inawekana kuuzwa kwa bei elekezi ya Serikali, ila inategemea zaidi mtu anayeuza mafuta ananunua toka wapi.

mafuta_bei_boda_boda
Wakati huo huo wananchi wameendelea kualalamika na kusema nishati hiyo sasa wananunua zaidi ya hiyo bei waliyopanga Serikali kwakuwa imekuwa adimu zaidi. mmoja wa wananchi ambaye naye alikuwa na kidumu chake akisubiri mafuta baada ya gari lake kuzima njiani alisema,  anaomba Serikali waweze kuruhusu mafuta yauzwe kwa bei ile ile, kama wanaona wameshindwa kuzuia. alisema kuliko kupoteza zaidi ya masaa saba au kumi kutafuta mafuta yaliyopunguzwa mia moja, na kibaya zaidki unanunua zaidi ya ile iliyopunguzwa.

wakati mwingine yeye alishauri Serikali iweze kuwafutia leseni kwa wale wote waliokaidi agizo toka Ewura
mafuta_bei_juu

mafuta_bei_hakuna

Huyu yeye alishindwa hata kujua afanye nini?

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents