BurudaniVideos

Video: Nisher aonesha uwezo wa ziada kwenye uongozaji wa filamu, kazi yake yasifiwa na wengi

Nisher alikaa kimya kwa muda na kupotea kiasi kwenye fani ya uongozaji wa video za muziki. Na sasa amerudi, lakini akiwa amekuja na kitu cha ziada kuongezea katika catalog ya kazi zake.

Siku chache zilizopita, muongozaji huyo mwenye makazi yake jijini Arusha alitoa filamu yake fupi aliyoipa jina ‘Alex.’ Inaelezea kisa cha kibarua mwenye jina hilo ambaye ana familia yenye mke na mtoto mmoja.

Lakini kutokana na kutegemea kibarua cha ujenzi chenye kipato duni, anajikuta akishindwa kuihudumua vizuri familia yake na kumfanya mke wake amchukulie tu kama mwanaume suruali. Hilo linampa stress sana lakini hana namna ya kuliepuka zaidi ya kukubaliana na ukweli.

Katika mazingira anayofanya kazi Alex anakutana na warembo wa kila aina kutoka kwenye familia za kitajiri ambao anaishia kuwatamani tu na shida zake zikibaki pale pale.

Alex imeonesha kuwavutia wengine wanaoamini kuwa kama ikiendelezwa inaweza kuwa series ya kuvutia. Haya ni baadhi ya maoni ya watu walioitazama.

Nchakalih

NISHER, this is very very encouraging work. Love the grading, the cinematography, the scoring…you can only go higher from here. very encouraging that tuna KIPAJI kama chako in TZ….keep PUSHING, wengi tunaweza kukosoa na sio wanaokosoa wote ni mahaters but for me…..UMETHUBUTU, UMEFANYA, UMEWEZA. Mengine, ntakutafuta chamber ila for now….YOU ARE ONTO SOMETHING FAM!

Beatrice Shelukindo

If U get serious enough Nisher, ALEX will get bigger than u can ever imagine. We’re looking forward to see more of ALEX episodes. Thanks X

Samwel Wilfred
Nia yangu sio kuonekana nakusifia au nakupaka mafuta kwa mgoingo wa chupa hapana film yako inautoauti mkubwa sana style ya shot na movie za kibongo ni short story ila inakufanya uwe na hamu ya kendelea kuiangalia iko tofauti sana japo kuna mapungufu machache ila almost epic mtengeneze alex afike mbali

Monicah Mugo

Coming from music background to films ain’t a something light. Simple story well executed. Apart from the continuity factors which have been contributed by the fact that most are first time actors and actresses, the cinematography portrays the emotions perfectly. The scoring and color is good. It stands out against the Bongo films commonly used style. You are a game changer and so is the way to go long. Is there a continuation? I wanna see how dramatic you wanna develop it. Cheers bro.

Makai Kasala

Story, video quality, actors.. Awesome.. I wish u do something big for the revolution of tz movies… Hope wadau wamekuona… Keep it live…

Daphne Munialo
Damn,I didn’t want Alex to end, is there anymore of Alex please?
Reply 1

Hezzron S. Josephs

Good work. Great story telling techniques
I love that part Alex is leaving his home Alafu hana hata ela ya kuacha nyumbani Ila hataki kuonyesha hio kwa mwanae. Still anamwambia ntamletea zawadi. That’s giving hope ????.

Ramadhani Hamisi

Great work, great and fascinating story with a strong message in it. I like that part at the cite where Alex was working, you’ve managed to capture some amazing shots and also show the hardships that low earners face like working without steel toe shoes, gloves and also helmets. I am fan of your work since day one, keep the hardworking moving and blessings will be on their way. Nice one Nisher, looking forward for the next move

AMANI CHANG’A

Haters won’t like it, here what should we appreciate most is the video quality, then about story and video content will be depending upon actors and story owners, Nisher z the video director with filming skills and not only music videos, so if he will get great actors with great stories I swear all over the world gonna know about Tanzania, let’s cooperate each other as Tanzanians and not making someone down so to make someone else a deal like fid q said in sumu

Jocelyn William

The video quality is very nice, characters are very realistic, the set is perfect I think it would make a very nice movie, I especially liked the fact that it didn’t feel like I was watching people act but rather I was viewing someone’s life which made it very interesting and the technology of showing what was going on on Monica’s phone is very creative nothing I’ve seen in any Tanzanian movie, keep up the good work, tengenezaga movie tu kaka angu, watazamaji tupo????

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents