Mmbo yaliendaa poa siku ya Nyama Choma Festive yaliyofanyika pale kwenye viwanja vya Posta na simu pale Kijitonyama. mambo yalikuwa sawa nyma za kutosha ni mwendo wa nguvu zako kwenye mfuko.
Stive B alikuwepo pale kati akisababisha kwenye suala zima la muziki
Bonny love naye alikuwepo pande hizo