Burudani

Nyota Ndogo aahidi kueleza A-Z yanayomtesa kwa miaka 17

By  | 

Muimbaji wa Kenya, Mwanaisha Abdallah maarufu kama Nyota Ndogo amekuwa akiwaacha mashabiki wake na maswali mengi kwa kulalamika muda mwingi kupitia mitandao yake ya kijamii kuwa kuna baadhi ya vitu vimekuwa vikimtesa kwa takribani miaka 17 sasa.

Je unataka kujua ni vitu gani hivyo ambavyo vimekuwa vikimsumbua mrembo huyo kwa muda wote huo? Kupitia mtandao wa Instagram, Nyota Ndogo ameahidi kufunguka kila kitu kwa kuweka wazi Jumatano hii.

MUNGU nipe ujasiri.inshalla kesho hasubui nitawaeleza kila kitu kinachonisumbua.mybe hakuna atakae nisaidia couse kila mtu anamatatizo yake but nataka tu mujue nayopitia.couse sometimes nakula chakula sio kwakuskia utamu ila unakula ili usikae njaa.10:30 nitaanza kuweka voicenot.mtanisamehe nisipofanya hivi sijui maisha yangu yatakua yakulia tu na naona basi nafaa kuwacha kulia.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments