Soka saa 24!

Octoba 1& 2 Leaders Club watakaofanya balaa

1lINA
Katika siku mbili mfululizo za tarehe moja na mbili za mwezi wa kumi katika viwanja vya Leaders Club, inatarajiwa kufanyika Events ambayo haijawahi kutokea katika jiji hili. Ni Events ambayo imekuwa ya kifamilia na kuonyesha jinsi watanzania sasa

yatupasa kurudisha uzalendo wetu kwa kukutana sehemu moja kama familia moja. Zaidi ya kukutana kifamilia kwa siku mbili hapa nina maana masaa 48, watu watakuwepo kwenye viwanja hivyo wakipata burudani ya hapa na pale, wakiwa na familia zao.

Ili kuleta ujamii zaidi basi kutakuwa na wasanii ambao watakuwepo kwaajili ya kusalimiana na wadau wao, wakiwemo  wasanii wa muziki na filamu. Pia kutakuwepo na wasanii ambao watapanda jukwaani moja kwa moja kwaajili ya kutoa burudani, wakiwemo Linah toka THT.
Amini2
Amini mzee wa Robo saa
chidi_benz
Chid Bezi, ni King Kong kutoka Ilala flat ndani ya La Familia
godzzila_face
In Da House mwana wa Sarasara….. Godzila ambaye napenda kumwita mkali wa Free Style
diamond_lagos
Diamond naye atawachezesha ‘Moyo wangu’ kazi kwenu kuweka mikono moyoni
Madee_shoo_3

Raiisi wa Manzese naye ataongoza baraza lake kuja mbele na kutoa burudani ambayo kwa muda imekosekana, na wengine wengi nitaendelea kukuletea…… Njoo wewe na familia yako

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW