Habari

Odemba alea Mimba Ufaransa

Miriam Odemba Pregnant

 

Miss Earth Air wa mwaka 2008 na long time model Miriam Odemba, kwa sasa yupo nchini Ufaransa akilea mimba pamoja na mchumba wake Laurent.

Habari zilizofikia Bongo 5 zinasema kwamba model huyo anatarajia mtoto wa kike atakaye kwenda kwa jina la Iris aka Mboni ya jicho. Miriam kwa sasa ni mzima wa afya na tunamtakia kila la kheri na baraka kwa muda huu.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents