Soka saa 24!

Ommy Dimpoz aachia wimbo mpya ‘Ni Wewe’ kumshukuru Mungu ‘sikuamini kama ningepona’ (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo mpya ‘Ni Wewe’ ambao amemshukuru Mungu kwa kumpa afya njema mpaka sasa.

Ommy Dimpoz amewasili nchini Wikiendi iliyopita, akitokea Ujerumani alikokuwa akitibiwa kwa miezi miwili.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW