Videos
Ommy Dimpoz athihirisha uimara wake kwenye muziki, aachia wimbo mwingine ‘You the best’ – Video
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo alimaarufu Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya abao unaitwa You the best.
Video ya wimbo huu ikifanywa na Hans cana.
By Ally Juma.