Burudani
Ommy Dimpoz kutoa zawadi nono kwa atakayemtumia picha yenye pozi kali
Hit maker wa ‘Tupogo’ Ommy Dimpoz anauanza mwaka 2014 kwa kuwapa mashavu mashabiki wake. Ommy amewataka mashabiki kumtumia picha yenye pozi kali.
Kupitia akaunti yake Instagram Ommy ameandika: Mwenye pozi kali zaidi atashinda Laki 3…..usisahau kuweka #PKP #PozkwaPoz.Unaweza kutuma yako kwenye no +255715623821 weka Hashtag ya #PKP pozi lako likiwa kali ntakutupia picha yako hapa….twendeeee.”