Burudani

Mabeste kutoa documentary ya maisha yake,video ya ‘Nishauri’ na wimbo mpya

Rapper Mabeste amesema mwaka huu ameanza kuandaa documentary inayoelezea maisha yake, pamoja video ya wimbo wake ‘Nishauri’itayotoka hivi karibuni pamoja na wimbo mpya.

Mabeste akitumbuiza

Akizungumza na Bongo5 leo, Mabeste amesema documentary ya maisha yake itatoka mapema mwezi wa tano baada ya kumaliza,kwakuwa itambidi asafiri sehemu mbalimbali alikofanyia maisha yake.

“Mwaka 2014 umeanza mimi kama mimi nimeanza kushoot documentary inayoelezea maisha yangu kiujumla.Katika muziki nina nyimbo tano mpya ambazo siwezi taja nitaachia ipi,lakini hivi karibuni nitaachia video ya wimbo wangu ‘Nishauri’ pamoja na wimbo mpya,” alisema Mabeste.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents