Burudani ya Michezo Live

Ommy Dimpozi ndani ya Bongo Starz

Ommy_Dimpozi

Mwanamuziki ambaye ametokea katika bendi ya Top In Dar, Ommy Dimpozi hivi sasa anayetamba na kibao chake cha Nainai, hivi karibuni siku ya juma pili anatarajia kuungana na wasanii kama Godzila,Shilole na Hemedi katika usiku wa Bongo Starz.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW