BurudaniVideos

P Ruma ndani ya video ya Usitingishe Chupa

p_ruma_face

Mwanamuziki wa kizazi kipya ambaye anachipukia kwa kasi P Ruma, amemalizia video yake mpya  ya wimbo wa Usitingishe Chupa, ambayo ameifanya chini ya studio ya Raja Production. mwanamuziki huyo amesema kwamba video hiyo itakuwa funga mwaka, kwakuwa anataka kuonyesha jinsi Underground wanavyokuja kwa kasi kwenye game hili na kufunika wakubwa.


Zifuatazo ni picha za matukio kwenye video hiyoooooo………..

P_Ruma_dance

Hapa watu wakicheza kwenye moja ya clip ya video hiyo

p_ruma_michael

Hapa P Ruma akiwa na Michael Samson ndani ya pozi wakati wa video hiyo ikichukuliwa.

P_Ruma_mwenyewe

P_Ruma_Pozi

P_Ruma_production

P_Ruma_wawili

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents