Burudani

Picha: Akon na Davido washiriki kwenye uzinduzi wa chuo kikuu cha kwanza cha muziki Afrika nchini Gabon

Pamoja na kuwa wenyeji wa kombe la mataifa ya Afrika, Gabon ni nyumbani kwa chuo kikuu cha kwanza cha muziki barani Afrika, (African Music Institute).

Kutoka Kulia: Mtayarishaji mkuu wa muziki wa Davidio, Efe Ogbeni, Davido, Akon pamoja na maafisa wa chuo kikuu cha Berklee, Nicolas Boudeville na Jorge Smith

Uzinduzi rasmi wa chuo hicho kilichopo kwenye mji mkuu wa nchini hiyo, Libreville, ulimhusisha staa wa muziki Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon, hitmaker wa Skelewu, Davido pamoja na maafisa wa chuo chuo Berklee, ambao ndio walioanzisha, African Music Institute.

Chuo hicho kitakuwa kikitoa shahada ya kwanza (degree), pamoja na shahada ya uzamili (masters) katika muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents