Burudani

Picha: Baby Shower ya Esha Buheti ilivyofanyika

Msanii wa filamu Bongo, Esha Buheti wikiendi hii amefanya Baby Shower maalumu kwa ajili ya kumkaribisha mwanae ajaye.

Shughuli hiyo iliudhuliwa na watu wake wa karibu pia na baadhi ya mastaa wa filamu na muziki kama vile Shilole, Wastara Juma, Baby Madaha na wengineo.

Picha na Mtandao

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents