Michezo

Ferrer bingwa wa Swedish Open

Mchezaji tenisi raia wa Hispania, David Ferrer amefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya wazi ya Swedish (Swedish Open) baada ya kumfunga mpinzani wake Alexandr Dolgopolov kwa jumla ya seti 6-4 6-4.

 

Mchezaji tenisi raia wa Hispania, David Ferrer

Ferrer anaeshika nafasi ya 46 katika viwango vya ubora wa mchezo huo duniani hilo na taji lake la 27 kwenye historia yake ya mchezo wa tenisi.

Hili ni kombe kubwa kwa Ferrer  toka ashinde kombe la  Vienna Open miaka miwili iliyopita

By Hamza fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents