Burudani ya Michezo Live

Picha: Beyonce akava jarida la Garage

Beyonce amelibariki jarida la Garage kwa urembo wake.

beyonce-cover-600x800

Staa huyo mwenye miaka 34, na mama wa mtoto mmoja anaonekana kwenye picha hizo zikiwa kwenye fremu ya rangi ya chungwa, nyekundu na njano.

067-070-Urs-Fischer-FINAL-3

Picha hizo zimepigwa na mpiga picha maarufu, Urs Fischer. Litaingia sokoni March 14.

beyonce-interview-cover-urs-fischer

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW