BizzareBurudani

Video: Ng’ombe mlevi alala kwa siku nne baada ya kunywa pombe

Huko nchini Kenya katika Kaunti ya Bungoma kumeibuka tukio la Ng’ombe kuingia ndani ya nyumba na kunywa pombe aina ya Busaa. Ng’ombe huyo anadaiwa kunywa pombe lita arobaini hali ambayo imemfanya alewe chakali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents