Michezo
Picha: Mcheck girlfriend mpya wa Memphis Depay
Mchezaji wa Manchester United, Memphis Depay alikuwa akihusishwa sana kuwa na uhusiano na model Karruche Train liyekuwa mpenzi wa staa wa R&B Chris Brown, lakini sasa hivi inasemekana amepoa kwa mtoto wa mchekeshaji maarufu Marekani, Steve Harvey. Mrembo huyo anaitwa Lori. Hizi ni baadhi ya picha za mrembo huyo:
Memphis Depay na mpenzi wake Lori hivi karibuni
Lori akiwa na Baba ake Steve Harvey ambaye ni mchekeshaji maarufu